Utawezana Kweli Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Utawezana Kweli - B Classic 006
...
ohhhh
mhh
b classic 006
aylo unanipendanda kweli
una vigezo kwanguhauja feli
na moyo unanifosi kweli
nikiwaza kwetu ndo aibu
mana baby wee wachipsi
mayai
nakule kweetu hakuna
naunavopenda
ghorofa kule kwetu haku
nyumba zamakuti
nikijijini ndani ndani
maji kupata yenyewe ndo shida
nahofu
kama utaenda nami
ama utaniacha
kwa shida
Yani kila pakikucha
ndio shida
Yani kila pakikucha
ndio shida
kuongezeka
baby utaweza na
kweli
najaribu kila
siku usije ukateseka
baby utaweza na kweli
Yani kila pakikucha ndo shida
zinaongezeka
baby utaweza na kweli
najaribu kila siku
usije ukateseka
baby utaweza na
kweli
thank you baba good
leo nimeiona siku
najua kila mtu
anamapungufu
na hatukosi
naishu
mwenzako
sijapenda
kuwa hivi
ndio maana
hata siongei
ningependa
tuishi wote
wawili
tatizo sina pakee mh
kwanza wakishuka
nikisema
nakutema
ndio naogopa
ntatowa
wapi ichokifua
kuna madimba
kwetu ndio twaongoza
nikijaribu
niende mbali
moyo unamsukuma
Ivi utapenda
yangu hali
ugali kwa sukuma
nikijijini ndani ndani
najikupata
yenyewe ndio shida
naofu kama
utaenda nami
ama utaniacha
kwa shida
Yani kila
pakikucha ndo shida
zinaongezeka
baby utaweza
kweli
najaribu kila siku
usije ukateseka
baby utaweza kweli
Yani kila pakikucha
ndio shida zinaongezeka
baby utaweza kweli
najaribu kila siku usije ukateseka
baby utaweza kweli