Unanichanganya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Unanichanganya - Bensoul
...
ever since tujuane baiby
i feel so lucky you're a blessing in so many ways gal
we wasting so much time my gal
no time for truth and dare(truth and dare)
then when you need some love i promise to be there
kuna vile waniwashanga oh gal
moyo unandunda kila saa ukipitanga
nabaki lala
maneno zinakuja zikikwenda aki nini unanifanyanga
baby wewe star
usiku na mchana ustake jua vile unang'aranga
unanichanganya kuna kuna vile wanichanganya gal
unanichanganya kuna vile unichanganya wooi
unanichanganya kunavile unanichanganya
unani ah ah changanya kuna vile unanichanganya wooi
unanichanganya kuna kuna vile wanichanganya gal
the way you walk the way you rock the way you're moving my baiby
napenda vile unakanyanga nabado ukipika ni crazy
napenda vile unakaranga no time to waste my baiby Long long mi got some love for you
let me show you one thing or two
do the things that lovers do
kuna vile waniwashanga oh gal
moyo unandunda kila saa ukipitanga
nabaki lala
mawazo zinakuja zikienda aki nini unanifanyanga
baby wewe star
usiku na mchana ustake jua vile unang'aranga
unanichanganya kuna kuna vile wanichanganya gal
unanichanganya kuna vile unichanganya wooi
unanichanganya kunavile unanichanganya
unani ah ah ah changanya kuna vile unanichanganya wooi
unanichanganya kuna kuna vile wanichanganya gal
umeniwasha moto
umenifanya loco
umenifanya nikuimbiange tu ma love song
juu nikuturn on na mavocals na kupigia densi ki Michael Jackson niko salon juu yako ninakusafishia kiti chako nitakuguzishia nitakupadishia nitakutumikia shida zako
unanichanganya kuna vile wanichanganya wooi
unanichanganya kuna vile unanichanganya
unani aah changanya kuna vile unanichanganya unanichanganya kuna kuna vile wanichanganya gal.