Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

This song is not currently available in your region.

Lyrics

Hatua Kwa Hatua ft. Mercy Masika - Rebekah Dawn

...

Sauti nyingi zinanizingira

Mawaidha mingi, njia mingi lakini najua,

Sauti moja Tu, lakufuata

sina mchungaji mwingine, ila Yesu.

Hata wengine wakiteleza njiani

Nitazidi kuwa mwaminifu kwake

Nitaamini neno lake, hajawai kunipotosha


Hatua Kwa hatua nitaendelea, Mungu mbele yangu nitamfuata,

Hakuna njia nyingine najua, Hatua Kwa hatua nitaendelea

ooh, nitaendelea.


Njia zake zaaminika,

Neno lake ni la kweli Kwa hivo nitasimama

Sitainamia dunia,

sina muongozo mwingine, ila Yesu

Sijawahi ona mwenye haki ameachwa,

Waliokuchagua hawajawahi kujuta

Kwa hivyo nitazidi nawe

Hata nisipo elewa.


Hatua Kwa hatua nitaendelea, Mungu mbele yangu nitamfuata,

Hakuna njia nyingine najua, Hatua Kwa hatua nitaendelea

Hatua Kwa hatua nitaendelea, Mungu mbele yangu nitamfuata,

Hakuna njia nyingine najua, Hatua Kwa hatua nitaendelea

Nitakufuata Yesu, Nitakufuata

ooh eeh eeh eeh, Nitakufuata Yesu

Kiongozi mwema,

Mkombozi(Sina Mwingine),

Mfalme (Sina Mwingine)

Mwenye enzi, (Sina Mwingine)

Msaidizi (Sina Mwingine)

Mponyonja (Sina Mwingine)

Mtetezi (Sina Mwingine)

Mwokozi (Sina Mwingine)

Mfariji (Sina Mwingine)


Hatua Kwa hatua nitaendelea, Mungu mbele yangu nitamfuata,

Hakuna njia nyingine najua, Hatua Kwa hatua nitaendelea.


Nitaendelea ooh ooh ooh ooh

ooh ooh ooh, Nitaendelea na wewe Yesu.


Mkombozi(Sina Mwingine),

Mfalme (Sina Mwingine)

Mwenye enzi, (Sina Mwingine)

Msaidizi (Sina Mwingine)

Mponyonja (Sina Mwingine)

Mtetezi (Sina Mwingine)

Mwokozi (Sina Mwingine)

Mfariji (Sina Mwingine)


Hatua Kwa hatua nitaendelea, Mungu mbele yangu nitamfuata,

Hakuna njia nyingine najua, Hatua Kwa hatua nitaendelea.

Hatua Kwa hatua nitaendelea, Mungu mbele yangu nitamfuata,

Hakuna njia nyingine najua, Hatua Kwa hatua nitaendelea.

Nitakufuata Yesu Yeah.

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status