Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Ukoloni (feat. Nash Mc) - Bwajah & Pato

...

Naililia Africa Siasa za chuki

Kila napopita nakasirika napoona Damu nyeusi inamwagika

Hali inatisha usilewe Madaraka Utaanzisha vita

Waachie wenzio muda wako unapokwisha au umenunuliwa na Mabeberu unalinda maslahi Yao

Hii ni mpaka lini tuwasujudie wao

Umaskini unaongezeka na mali zipo kibao

Aah Tumestuka kumbe ni wenzenu mnatukandamiza na mnakula pekeyenu

Uhuru wa bendera umetawala bara Zima

Mwananchi yupo hoi amezama kwenye kina (Kina kirefu hatarudi zaidi ya Jina)

Njia za uchumi wamekamata wachina

Wamarekani, Waingereza Wimawima

Wajeumani, Wafaransa wote machopima

Mwafrika zinduka amka Kaa wima

Ukoloni mamboleo ndani ya System (System System)

Ukoloni mamboleo ndani ya System

(System wee System)

Hii system ni zaidi ya unavyowaza

Mashairi chambua Kwa mwendo wa kukaza

Ukoloni mambo Leo ndani ya System

(System System)

Ukoloni mambo Leo ndani ya System

Hii system ni zaidi unavyowaza

Mashairi chambua Kwa mwendo wa kukaza

Napiga hatua kwenye mawazo Kuna mengi ya kusema sasa uliza Matangazo Matatizo mitaani hakuna Amani Kaa

Tunaishi kivikwazo nafikiria lini maendeleo yatakuja fika Afrika

Labda mpaka ufisadi utakapokwisha Ukoloni mkongwe wa weupe bado upo juu ya system na sisi ndio Victims ndani ya ukoloni wa weusi kwenye hii system

Njaa, Demokrasia yatupeleka pabaya ukweli ukisemwa watakupangia mabaya Vipi kura yako iwe silaha yako wakati serikali haijali maisha yako,

Katiba kama kibaka kuna wakati haitapendeka ikizuiwa ya kuitaka nani atasalimika Chama sas ni Sanaa wajinga kununuliwa Kwa maamuzi ni Sanaa Uislamu unatakiwa mwizi anayetuibia wenyewe tunawajua

Jobless waliokuwa ndo viongozi huwachagua Government to shine the Syllabus we need black to be twice free massive

Elimu, Tamaduni na Historia za Afrika

Ukoloni mamboleo ndani ya System (System System)

Ukoloni mamboleo ndani ya System

(System wee System)

Hii system ni zaidi ya unavyowaza

Mashairi chambua Kwa mwendo wa kukaza

Ukoloni mamboleo ndani ya System

(System System)

Ukoloni mamboleo ndani ya System system

Hii system ni zaidi ya unavyowaza

Mashairi chambua Kwa mwendo wa kukaza

Afrika zinduka Leo hii ndo kesho Ulioisema jana mbona ishafika inuka Eyoo

Juhudi za maendeleo kimaksudi wenye vyeo wamebana sa tazama Utawala wa kimabavu unaoshamiri Kwa mtutu wa Bunduki we umelala huku hawana Utu ka mamluki

Hakika katika msiba ndo wanatafuta sifa Katiba wanabadilisha ili wajipe nyazifa

Raia wanataabika hamna tena Uzalendo ni Ufisadi na magendo huku Taifa likifa

Huo ndo ubepari mjukuu wa Demokrasia tayari ka sikukuu elewa msemo na Hisia "Ushikwapo Shikamana" ni mistari ya Elimu haitashika maana

Ukoloni mamboleo ndani ya System (system Yeeeah)

Ukoloni mamboleo ndani ya System (System System)

Ukoloni mamboleo ndani ya System

(System wee System)

Hii system ni zaidi ya unavyowaza

Mashairi chambua Kwa mwendo wa kukaza

Ukoloni mambo leo ndani ya System

(System System)

Ukoloni mambo leo ndani ya System system

Hii system ni zaidi unavyowaza

Mashairi chambua Kwa mwendo wa kukaza

(Lyrics by AT Man Don )

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status