Tembea Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Tembea - Irene Robert
...
Aaah uuuuh
Oooh
Simjui ni yupi rafiki wa kweli ii
Ila wewe MUNGU wamjua ni yupi ii
Nakufahamu Baba wewe ni mjuzi wa mambo oo
Basi kwa hiki kitambo
Baba lifumbue fumbo
Tembea na mimi ii njiani kiza totoro
Baba tembea na mimi ii mimi siwezi ila wewe
Tembea na mimi Baba
(Tembea, tembea)
Ukiniacha nitaanguka Baba
(Tembea, tembea nami)
Tembea na mimi Baba
(Tembea, tembea)
Ukiniacha nitaanguka Baba
(Tembea, tembea nami)
Teaah
Uoo uo ooh
Uoo uo ooh
Aaah aah
Wengine niliwaamini sana
Mwisho wa siku wakaniangusha
Nikajagundua nikiwa nawe hayo yote utaniepushia
Mikingi njiani utaniondolea aah
Amani moyoni utanifanyia aah
Tembea na mimi ii njiani kiza totoro
Baba tembea na mimi ii mimi siwezi ila wewe
Tembea na mimi Baba
(Tembea, tembea)
Ukiniacha nitaanguka Baba
(Tembea, tembea nami)
Tembea na mimi Baba
(Tembea, tembea)
Ukiniacha nitaanguka Baba
(Tembea, tembea nami)
Najua kwenye milima
Baba utanivusha
Visiki na mabonde hivo hivo utanivusha
Kwenye maji marefu
Baba utanivusha
Kwenye maji marefu utanivusha
Tembea na mimi ii njiani kiza totoro
Baba tembea na mimi ii mimi siwezi ila wewe
Tembea na mimi Baba
(Tembea, tembea)
Ukiniacha nitaanguka Baba
(Tembea, tembea nami)
Tembea na mimi Baba
(Tembea, tembea)
Ukiniacha nitaanguka Baba
(Tembea, tembea nami)
Teaah
Tembea
From nothing to something