Ze End Ova (Ndo Basi Tena) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Ze End Ova (Ndo Basi Tena) - Kinata Mc
...
mmmh talent kinata mc
aya sema ndo basi ndo basi tena
wanangu ze end over
sema tena ndo basii
ndo basi tena ze end over
aya sema ndio baaa ndio basi tena ze end over
Tuishi na usemi wa mama ukinizingua tunazinguana
maisha kuishi bila fulani ndo basi tena nikusujudie wewe ni nani ze end over
mambo ya kutekana tekana ndo basi tena zimepitaga izo zama ze end over
uliko toka utoke kwa chibu ndo basi tena aslay sijui nini kimemsibu ze end over
wamenichukia kuja mjini ndo basi tena ndo maana wanataka washindane na mimi ze end over habari za kutishana tishana ze end over who are you
hauna uzuri wa wema sepetu ndo basi tena mwili umekwisha hakuna kitu ze end over
mzee kuirudisha taarab ndo bas tena anajipa tabu ze end over
sema ndo baasii ndo basi tena ze end ze end over
sema tena ndo basi wanangu ze end over
Aya sema tena ndo basi ndo basi tena wanangu ze end over sema ndio baa ndo basi tena ze end over
ze end ze end over
watoto wa mjini wameshapagawa hawataki kazi wengi chawa
kesi za kubambiana ndo basi tena tumebaki kwenye usawa ze end over
na majizo na mobeto ndo basi tena sas ivi wanalea mtoto ze end over
zile siasa za kuhama hama ndo basi tena tumetulia na mama mambo ya kutoka bila fulani ndo basi tena toooba hayo? mambo ya zamani ze end over kutekana tekana watu wasiojulikana ze end over na morrison kurudi yanga ndio basi tena msimbazi wamejipanga ze end over yanga kutembeza bakuli ndo basi tena manji karudi wapo vizuri ze end over sema ndio basiii wanangu ze end sema tena ndo basii ze end awaoaaaaahooooooooo
by munisi jr