Najua ft. Godfrey Steven Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Najua ft. Godfrey Steven - Sara Nyongole
...
Shalom
Ni mbele yenu leo
Kwa moyo papaa Leo mwana nahema
Uzima huu sababu Ni wewe
Kama si wewe nani?
Nijivune kitu gani Kama sio kuwa na wewe baba?
Kwako kuna Kila kitu
Eti mali kitu gani zinitenge na uzuri wako!
Kwako ni Kila kitu
Ooh namwita daddy
Kwa madaha ajivuna ananiita mwana
Leo Leo Dunia sikia
Anayenilinda najua.. .
Najua (Dhidi ya mitego)
Najua (Ya adui kweli Bwana)
Najua huyu ni Yesu
Najua
Najua kweli
Najua huyu ni Bwana
Najua huyu ni Yesu
Najua
*
Hello
Nimekuja kuwaambia
Anayenilinda ni yeye
Hello
Nimekuja shuhudia
Anayenitunza ni yeye
Nimuitapo yeye asikia
Nahitaji nini yeye anajua
Anapigana
Afanya njia
Hello
Namwita Daddy
Kwa madaha ajivuna
Ananiita mwana
Leo
Dunia sikia
Anayenilinda najua...
Najua huyu ni Bwana
Najua
Najua aliyefanya yote
Najua huyu ndiye Bwana
Najua
Mtetezi wangu
Najua huyu ni Bwana
Aliyewapiga kwa njia saba
Tazama!
Hawawezi inuka tena
Wamedondoka kweli
Najua
Kweli
Bwana
Watesi hawapo tena
Aliyefanya hayo
Ni Bwana!