X - Wife Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
X - Wife - Lecha Boy
...
Yeah!
kila mwanadamu ameumizwa na mapenzi
So..
Ukigundua mwenzio anakupenda, basi usimtende..
[ khuukhuukhu ]
"Lecha Boy"
Gia! backing day hukuwa Kama ulivyokuwa Sasa ulikuwa binti mpole usiyependa Hata anasa Hata wakati nakupata ulikuwa hujatakata ulikuwa uko simple nikahisi nimepata, kiukweli ulikuwa mkali nikakwambia kila sababu na pia hukujali ukacheat bila sababu siwezi kukudanganya nishaenda mpaka kwa Babu,
Ulinichanganya kwa stress na ghadhabu najua unalingia uzuri.. uzuri bila akili unaumiza sehem za Siri Nikikufikiri naweka wazi nakiri na hii ndio simu ya mwisho hakuna hakimu wala wakili,
Yeah!
Umevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni chui, umeng'atwa napuliza kumbe panya mi sijui, Unaigiza unanipenda mi Sterling we adui..mi sijui kumbe mapenzi movie ya kibedui, nakumbuka Bi mkubwaa..
Ameshakusihi Sana utulieee.. na uache pupa pupa za ujana, ukikutwa umechutumaa, wamekufanya barabara, sio pwani tu, mpaka bara Watu wanazama, check unavyoishi Sasa, tofauti na zamani, Siku izi una danga Hata Watu hawakutamani, Umeshuka thamani..umekuwa hayawani, huonekani nyumbani..kutwa upo mitaani, nishaweka vitu vyangu vingi Sana Bondi,
Yote kwa ajili Yako, umeshindwa kurespond, unasambaza umeme Ka miwaya na mistimu, staki kuwa na wewe usije ukanitia wazimu.
[ ?]