Hamu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Hamu - Tina Brown Kenya
...
Niko na haaam baby tukutane kwenye bichi,
nikupe mapenzi mataam utabaki ukinimisi walikuhadaa wakasema mapenzi siwezi ooooh
walikukaba na maneno ya uongo baby,
Hata unisusie uninyime penzi,
lakini sikuachi ng'o hata wafanye vipi
maneno thomo hawaniwezi hawatonipiku
na penzi tulipalilieeeh kila usiku nikumbate, wembe nisiulilieee,
kila usiku nikatekate maana baby( ni weee)×2
moyo wangu imepinda kwako,niruhusu niote na wewe nikufikirie, juu wangu
moyo)×2 una ham ham natamani penzi tam tam
mi ni yule binti kiziwi, moyo unakwenda bum bum bum, ninapohisi sitatafsiri,penzi langu kama bomu,
asubuhi nipigieee natamani sauti yakooo,
ukiweza nipigie, mimi ndo chakula chakoo,
pekupeku nichunguliee fanya ka unatafutaa,
panda mbegu ninyunyiziee baba mkulima wangu,