Vizazi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Vizazi - The Heavenly Melodies
...
Sifa zako Bwana ni za milele
Ukuu wako Bwana ni wa milele
Vizazi Bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
Watamalaki
Sifa zako Bwana ni za milele
Ukuu wako Bwana ni wa milele
Vizazi Bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
Watamalaki
(Sifa zako)
Sifa zako Bwana ni za milele
Ukuu wako Bwana ni wa milele
Vizazi Bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
Watamalaki
Sifa zako Bwana ni za milele
Ukuu wako Bwana ni wa milele
Vizazi Bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
Watamalaki
Sifa zako zikaenea
Katikati ya mataifa
kwasababu ya uzuri wako Ooh mmh
Umetamalaki
Sifa zako zikaenea
Katikati ya mataifa
kwasababu ya uzuri wako Ooh mmh
Umetamalaki
Wewe ni Mungu mwaminifu
Enzi na enzi unatawala
Vizazi na vizazi hakuna Kama wewe Eeh
Umetamalaki
Wewe ni Mungu mwaminifu
Enzi na enzi unatawala
Vizazi na vizazi hakuna Kama wewe Eeh
Umetamalaki
Sifa zako Bwana ni za milele
Ukuu wako Bwana ni wa milele
Vizazi Bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
Watamalaki
(Sifa zako...) Sifa zako Bwana ni za milele
Ukuu wako Bwana ni wa milele
Vizazi Bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
Watamalaki
(Unatawalaaa)
Unatawalaaa
(Unatawalaaa)
unatawalaaa
(Eeh eeh) Vizazi bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
Watamalaki
(Unatawalaaa)
Unatawalaaa
(Unatawalaaa)
Unatawalaaa
(Eeh eeh) Vizazi Bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
Watamalaki
(Enzi ni yako)
Enzi ni yako
(Enzi ni yako Bwana) Enzi ni yako
(Eeh eeh) Vizazi Bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
Watamalaki
(Enzi ni yako)
Enzi ni yako
(Enzi ni yako)
Enzi ni yako
(Jehovah eeh) Vizazi Bwana na vizazi
Ooh oooh oooh
(Ooh ooh oooh) Watamalaki
(Uweezaaa)
Uweezaaa
(Na nguvu)
Na nguvu
(Vina weeewe)
Vinaweeeweee
(Mfalme wa wafalme) Bwana
(Uweezaaa)
Uweezaaa
(Na nguvu Bwana)
Na nguvu
(Vina wewe)
Vinaweeeweee
(Bwana) Bwana
(Uweeza Bwana)Uweezaaa
(Heshima ni zako Mfalme) Na nguvu
(Vina wewe) Vinaweewee
(Bwana! Bwana! Bwana!) Bwana
(Uweeza eeh eeh eeeh)Uweezaaa
(Na nguvu Bwana)Na nguvu
(Vina weeewe)Vinaweeeweee
(Bwana! Bwana!) Bwana
(Uweeza ni wako Bwana) Uweezaaa
(Na nguvu ni zako) Na nguvu
(Vina weeewe)Vinaweeeweee
(Bwana Bwana) Bwana
Uweeza aah eeh eeh oooh
Vina weeweee
(Uweeza Bwana ni wako) Uweezaaa
(Na nguvu Bwana) Na nguvu
(Vina weeewe)Vinaweeeweee
(Bwana! Bwana) Bwana
(Uweeza, Heshima ni zako Bwana)Uweezaaa
(Uweza ni wako Jehovah) Na nguvu
(Vina wewe) Vinaweeeweee
(Bwana! Bwana!) Bwana
(Uweza Uweza) Uweezaaa
(Na nguvu Bwana) Na nguvu
(Vina wewe eeh eeh eeh)Vinawewe
(Bwana Aaah) Bwana
Ooh ooh oooh ooh ooh oooh
Ooh ooh oooh
Bwana!