Nipo tu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Yee
It's your boy Km
Bruu yeh man
Boy Km
Yee
Yee
Boy km el king lion man
let get it
It's your bro
Eyi Eyi
Eye eye eye eye
Nipo tu kwenye game kwenye game
Nipo tu kwenye game kwenye game
Nipo tu kwenye game kwenye game
Nipo tu kwenye game kwenye game
Nipo kwenye giza bado mwanga uja waka
Nipo tu baba maisha nimagumu yani to much
Nisha pitiya masaka kusaka kokusa kupata
Hali ni tete leta matete nakula matete
Hapa mjini maisha nima gumu
Yee maisha nima gumu
Ye ye
Nisha pitiya mengi sana nisha ona mengi sana
Nisha vumiliya mengi sana apa mjini ye ye
Ahh hali ni tete
Nipo tu kwenye game kwenye game
Nipo tu kwenye game kwenye game
Nipo tu kwenye game kwenye game
Ahh it's boy km man
Ey ey ey ey
Let go kwenye game kwenye game
Kwenye game
We nipo tu kwenye game kwenye game
Nipo tu kwenye game kwenye game
Put puu
Wana uliza nina uyu kawambiye nimo km
Hip hop ina ziti jag wa katakana makiu
Wana taka kuni fata kawambiye wani view wani view ey
Tume toka mbali tukiwa wadogo
Saivi tume kuwa
Tume toka mbali tume toka mbali
Kawambiye nipo tu kwenye game
Eh eh
Kawambiye nipo tu kwenye game kwenye game
Eh ahh it's boy km
Nipo tu kwenye game nipo tu
Nipo tu kwenye game kwenye game
Usipo shika nita shika
Nisipo shika utashika
Nenda kawambiye nipo juu atu bingi nawo
Maisha mangumu yani tu much
Yani tu much yani tu much
Yee Yee
I feel I'm gonna cry man ahh ahh
Yee i got you bro
Yee ehh lil boy f*** b***
Yee nisha sikiya mengi sana
Nisha ona mengi sana
Eyy eyy
Nisha ona mengi sana nisha sikiyaMengi sana wuu eyi
Ahh yee let go
Nipo kwenye giza bado mwanga uja waka waka
Nipo tu baba maisha Nimagumu yani tu much
Maisha nimagumu ya tu much
Nisha pitiya kusaka kupata kukosa kupata
Aya maisha nima gumu apa kambini pauu
Huu
Let's go it's boy km ahh