Mfalme wa Utukufu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mfalme wa Utukufu - Filbert Sangule
...
.......
umfalme wautukufu umeketi patakatifu
Utatu wako mkamilifu
Ewe Yesu ninakusifu *2
Jina lako la ajabu
Weza wako wa ajabu
Matendo yako hayasemeki
Falme wako unadumu
Nguvu zako za tawala
Mkono wako unanguvu(unanguvu)
Ulikuwepo tangu zaman
We ukafanya mbingu na nchi
Bahari ya sham ilikimbia kwa sauti yako(yenye nguvu)
Umfalme wa utukufu umeketi patakatifu
Utatu wako mkamilifu
Ewe Yesu ninakusifu*2
Bwana unatenda mambo ya ajabu sana
Makuu
Yakushangaza sanaaaa
Hata nikitaka eleza yote bado ctaweza
Maana ni mengi
Sana
Najua hakuna jambo gumu mbele zako(zako)
Linaloweza kukushinda bwana waweza yote
Magumu yaliyo shindikana mbele zetu
Kwako bwana yanawezekana aaaaah
Maana ww
Ni mfalme wa utukufu
Umeketi patakatifu
Utatu wako mkamilifu
Ewe Yesu ninakusifu *2
Mataifa yote yaimbe
sifa zako
Ukuu wako bwanaaaa...
Sifa zako ziimbe (dunia yote)
Kabila zote oooooooooooooh
Umeinuliwa tena juu sana
Sifa zako zimefika mbal sana
Ukuu wako eeeh bwana washangaza aaaaaah
Nan mkuu kama ww
Nan mfalme mwingine
Naviumbe vyote vingine viimbe
Sifa zako milele
umfalme wautukufu
umeketi patakatifu
Utatu wako mkamilifu
Ewe Yesu ninakusifu *2
Ooooooh umeketi patakatifu
Eeeeeeeh utatu wako mkamilifu
Ooooooooh