CHINI JUU (feat. Young Lunya) Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
CHINI JUU (feat. Young Lunya) - King98
...
Wanataka nichane nikawapa michano wakasema huyu mwana kuchana anachana
Mimi na pesa tunakimbizana utasema nachezea bafana x2
Leo napiga pisi za kishua zinajitawala zinabuluzana na zinaelewa pisi kama pisi aziwezi kushindana na mama la mama
Story zenu zakiwaki mpaka lini
BOngo kuna nani kama mimi
Bobo ni makosa kushindana nae labda ukashindane na majini
Na inaeleweka natokea bongo ila flow zimetoka unyamwezini ndomaana nikitoa chipa linatrend kutokea juu mpaka chini
Ninunue nini ili niwakele wanaonichukaia (labda ni ??)
Maana kila anaechana nasikia anabifu na mbuzi na wote wanaka
Wanazani labda nimeanza kufanya juzijuzi no nimetoka far
Nakuhusu mitonyo hiyo ndo inafanya sikuhizi mnyamwezi nang’a balaaa