Nyuma Ya Mlima ft. E Debora Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2021
Lyrics
Nikitazama mbele naona mulima mrefu, mrefu, mrefu sana
Nikitazama mbele naona mulima mrefu, mrefu, mrefu sana
Najiuliza lini, lini, najiuliza lini nitavuka ngambo
Najiuliza lini, lini, najiuliza lini nitavuka ngambo
Lakini ni lazima niupande niuvuke heeeh heeeh
Ndipo niweze kufikiya mafanikiyo yangu huuu
Lakini ni lazima niupande niuvuke heeeh heeeh
Ndipo niweze kufikiya mafanikiyo yangu huuu
Lakini ni lazima niupande niuvuke heeeh heeeh
Ndipo niweze kufikiya mafanikiyo yangu huuu
Kwani ninajuwa nyuma ya mlima ni raha ahhh
Nyuma ya mlima ni raha ahhh
Nyuma ya mlima ni furaha tele ehheeehhh
Nyuma ya mlima ni furaha aahhhh
Nyuma ya mlima ni amani salama ahaaaaha
Kwani ninajuwa nyuma ya mlima ni amani iiih
Nyuma ya mlima ni amani salama ohooooh
Nyuma ya mlima ni amani iiih
Mlima ni matatizo mengi mbele yako
Najuwa wajiuliza yatakwisha lini
Mlima ni majaribu mengi mbele yako
Najuwa wajiuliza yatakwisha lini
Lakini ni lazima upigane uyashinde heehee
Ndipo utavikwa taji la ushindi iiii
Kwani ninajuwa nyuma ya mlima ni raha ahhh
Nyuma ya mlima ni raha ahhh
Nyuma ya mlima ni furaha tele ehheeehhh
Nyuma ya mlima ni furaha aahhhh
Nyuma ya mlima ni amani salama ahaaaaha
Kwani ninajuwa nyuma ya mlima ni amani iiih
(Kwa imani vyote vitaisha ahaa)
Kwa imani vyote vitaisha aaaah
(Kwa imani vyote vitaisha ahaa)
Kwa imani vyote vitaisha aaaah
(Kwa imani Magonjwa yatatoka kwa jina la Yesuuuu)
Kwa imani vyote vitaisha aaaah
(Kwa imani matatizo yatatoka kwa jina la Yesuuu)
Kwa imani vyote vitaisha aaaah
(Kwa imani umasikini toka kwa jina la Yesuuuu)
Kwa imani vyote vitaisha aaaah
(Kwa imani umasikini toka kwa jina la Yesuuuu)
Kwa imani vyote vitaisha aaaah