Mmhhh Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mmhhh - Mastar VK
...
....
apendagi kubonga (mmhhh mmhhh mmhhh)
tingiza na doba (mmhh mmhhh mmhhh)
teremka (mmhhh mmhhh mmhhh)
jigi zikisonga (mmhhh mmmh mmhh)
apendagi kubonga anapenda kuzitoka
ana haga bigi nanapenda ziki songa
ananiitaga afande akikuja kuni honga
akishika rungu nko ready kumgonga
(mmhhh)
akitaka kurombosa(mmhhh mmhhh)
hadi kwa rodi akidondosa
alisema nikishika chapa kaina makosa
manduru akisurrender hadi mikono akanyosha
ati baby leo si twende dunda
na mwenye akona shida ajibebe ka punda
luku ni safi pigwa hadi na upepo ya runda
kata makali hapa hadi chaser n matunda
wote wote nawateka kwa shedi
tuki muochoa masiongi tukivuta mahedi
zile koro nonono zimetoka kwa pedi
zikishika tuzitoke tuliwacha kumedi
apendagi kubonga(mmhhh mmhhh mmhhh)
tingiza na doba (mmhhh mmhhh mmhhh)
teremka (mmhhh mmhhh mmhhh)
jigi zikisonga (mmhhh mmhhh mmhhh)
kukachapa nakachapa na stingo
piga shoti kama n ndenga ya madingo
amejibeba utadhani n mizigo na kumbe ni katoto tu kayengs ka migingo
akirombosa zinabounce nikikumba
tupate solo tukikumbana kwa nyumba
zinatetema mbaka tukicheza rhumba
zi nanichizisha nikama ziba tumba
juu baby mina penda zikiruka
hizi vitu fiti hatuzipatagi kwa duka
narusha mistari juu napenda kukusuka
unanifanya nikuwe horny ata ukijifunga hyo shuka
alisema mi mfunny na fanya anararuka
usiku ni manduru juu ya vile nakanyuka
ata apate ball hyo n yangu siezi ruka(mmhhh mmhhh)
apendagi kubonga (mmhhh mmhhh mmhhh)
tingiza na doba (mmhhh mmhhh mmhhh)
teremka (mmhhh mmhhh mmhhh)
jigi zikisonga (mmhhh mmhhh mmhhh)
apendagi kubonga (mmhhh mmhhh mmhhh)
tingiza na doba(mmhhh mmhhh mmhhh)
teremka(mmhhh mmhhh mmhhh)
jigi zikisonga (mmhhh mmhhh mmhhh)