Wangari Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
Wangari - Jivu
...
wanga...ngari..
wa wa wangariii
wanga ngari
wa wa wangarii
i saw you from the very first time
unavyojilegeza ukiwa nami
ni we ni we niwe
ni we ni we niwewe
niwewe mpenzi wangu wa kweli
ukweli nakupenda sio chocha
nahisi kama ndoto ninaota
chochote utakacho sio hojaa
milele wewe ndio namba mojaa
wangaaaa
wangari kairetu kega
wangaa
wangarii God bless your mama
mwathani amurathime
wanga ngari
wa wa wangarii
sing for me baby
dance for me baby
sing for me baby
dance for me baby
na kuna wenye mali wanaponda
lakini kuna wengine
mapenzi ya ukweli wanaomba
hawayapati pengine
na kuna wenye mali wanaponda
lakini kuna wengine
mapenzi ya ukweli wanaomba
hawayapati pengine
wangaaa
wangari kairetu kega
wangaaa
wangarii God bless your mamaa
mwathani amurathime
wanga ngari
wa wa wangari
dance for me baby
dance for me baby
cheza cheza cheza wangari
unaweza weza weza fanya lolote
usiogopee
wangaaa
wangarii kairetu kega
wangaaa
wangari God bless your mamaa
mwathani amurathime
wanga ngari
wa wa wangarii