Loading...

Download
  • Genre:Afropop
  • Year of Release:2021

Lyrics

Dakika Moja - Tokal

...

Unavyofanya sivyo unaniumiza moyo mwenzako naumiau hii ndio ile zawadi yako,

Uloniahidi utanipea


Unavyofanya sivyo unaniumiza moyo mwenzako me naumiau hii ndio ile zawadi yako,

Uloniahidi utanipea


Au kukupenda ni makosa mbona huniambii

Unanifungia milango

Na venye nikipenda nimependa hata sisikii

Nitatoa hadi figo


Baby ninashauku kama ulinipenda venye nilivyo

Oh nina shaka na mapenzi unavyofanya hivyo sivyo


Kama unahisi sikufai,

Uniambie,

Niko tayari kuuguza maumivu

Kama sikufai,

Uniambie,

Ooh baby I just need your time


Chorus: x2

Baby Nipe.. japo dakika moja

Japo dakika moja

Nipe..japo dakika moja

I need your time


Verse 2:

Tumecheka me nawe

Kwenye mapenzi tumelia me nawe

Tumepitia mengi me nawe

Hata kwingine tumetupiwa mawe


Tumecheka me nawe

Kwenye mapenzi tumelia me nawe

Tumepitia mengi me nawe

Hata kwingine tumetupiwa mawe


Namala nikuhale, lakini mbona sikwelewa kamare

Namala nikuhale,... Babyyy


Kama unahisi sikufai,

Uniambie,

Niko tayari kuuguza maumivu

Kama sikufai,

Uniambie,

Ooh baby I just need your time


Chorus: x2

Baby Nipe.. japo dakika moja

Japo dakika moja

Nipe..japo dakika moja

I need your time


Oh yeah yeah

Dakija moja na wewe

Na wewe tu baby

I just need a minute if your time


Na wewe..

Oh nono nono!

Uuh.. Uuuh!

Oh yeah yeah

Oh nanananaa

Uuh uuuhhhh!

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status