Nahitaji Maadui ft. Young Killer Msodoki Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Nahitaji Maadui ft. Young Killer Msodoki - Dogo Dee
...
Boora tu nipate maadui.. rock city we in the house… I can Young killer
Boora tu ni…
Nahitaji maadui vitani nimwage mwani, nawawinda mi ni chui mbugani swala ni nani..nawataka wauza nyago we elewa mzik ni kazi
Mi ni dogo kwa madogo nafanya sifanyi size..naskika kwenye spika na spika inaskika..
Muziki bado unashuka na promo ni soccer…
Nimetoka kwenye mwenyezi sijatoka kwa nyani..
Fanya mwangani mapenzi so mapenzi ya manani..
Ka shabiki unanipenda nunua usibani kazi..
Nipende penda na kanda kesho nijenge makazi..
Ujanja kusaka pesa aliepata ndo anatesa mapenzi yamekuwa pesa aliyekosa ndo amekosa..
Kuna nyeti zina miwaya usidate na makalio..
Majangili kwenye kaya wanabaka makalio…
Kwanza natupa begani wasaliti maabuu, kwenye hewa mi ni nani..Eiteeni nakaza bustani,,,
Bora tu nipate maadui rafiki mwema kumbuka ndo bado simjui…kwasababo..yoo kila mtu bize na mishe bora nikose rafiki malengo niyafanikisheX2
Fundi mjenzi jenga nyumba so kujenga majungu…
Wanatikisa vichwa vyao kama bugi la ritungu..
Naipenda TANZANIA amani yake imenilea,ulofeli ungezania kupasi kutarejea…
Kwa wazawa wamenizaa mabatini kwenye gongo nyumbani hali ni duni najituma kiusomi..
Mama anafanya biashara anafukuzwa na mgambo, nabudi atukupa dawa….
Tanzania futa jasho akomeshwe fisadi,ukitawala kwa michosho mapema utapewa kadi…
Namshukuru brother kak kwa kunifunza mziki..
Najituma kiuhakika japo napitia mikiki..
Nyumbani mama ntarudi kuja kujenga mjengo..
Rest in peace kwa dad mdomoni ameacha pengo..
Napambana kwenye elim bado navimbishwa mwili..
Najua nakuwa dingi najikaza kuhimili…
Yeah bora tu nipate maadui rafiki mwema kumbuka ndo bado simjui kwasababo0..kila
Mtu bize na mishe bora nikose rafik malengo niyafanikisheX2
Hii baridi na furaha so joto na jasira..
Nimeamin kweli njaa ndo rfk wa young killer..
Bora nithamini kuvaa tukiwa saafi..tutamwoa wema kisha bila skendo atakaa…
Wanted boy mwenye bifu na pay..
Bila nguo mpya christmass wala sitembei..
Nahitaji maadui ili nifike sio marafiki wanaolegeza kamba za ridhiki zikatike..
Nikinywa maji eti wanasema..lini ntapata ragiki mzuuri nizihesabu siku njema…
Leo napiga moyo konde nipate maadui japo bifu kwetu ni nyama ya ng’ombe..
Mr Big G najua kuwa huelewi mziki.. so hauwezi kummanage dogo D..
Tungo tai chi msodoki mi nahitaji maadui..
Marafiki wengi wanafki inshort..
Bora tu nipate maadui …ukubwa nyumba watu wanaishi binadam wote ni wadoogo..
Dogo D young killer…….
…..