HALIMA ft. NDOVU KUU Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2020
Lyrics
HALIMA - Kc kangiri
...
Kc Kangiri
Halima
Verse 1
Alisema jina lake ni Halima......Halima
Aki walahi wanifanya mimi mjinga.....
Yeiy yeiy ....... Baby
Sura yako fire......fire
Wafanya mavijana wanagwaya....... gwaya
Na tabasamu lako baby ni tamu sana
Mawazoni amekwama mimi nishapagawa
Najua wananiwaza pia
My baby is too dame proud
So am a be the engineer of this new found Love
CHOROUS
Nipende......Nipende...... Nipende
Verse 2
Staki ma pressure raha mimi ndio na saka
Nikiwa nawe yote mimi na ipata
Nawaka waka baby mimi nakudata
Mi nitakazana hadi siku ntakupata
Umenikwama hadi damu inaniganda
We ni Rwanda,Kenya ama Uganda
Na tuki vibe si unajua itakuwa blanda
Ju kidesigner itabaki nimekupanda.....
VERSE 3
Mficha uchi hazai
Na mimi nakudai........ nakudai
So baby cheza nice nikuvibe na
Malines compromise kama love ni vice baby.....
Chorus
Nipende.......Nipende......Nipende
VERSE 4
Chaina love yangu original..
Friend zone staki story za umorio...Rimo
Niko ready nipee signal wacha ku thigino nimechoka
So baby fanya ninacho sema .......Eee
Masiku zinakuja zikienda...... Eee
Usikubali baby tukule calendar ...... Eee
Wenye wivu watakuja kututenga..... Ku-tu-te-nda
So baby mbona u-ni-ka-ta-e vile ng-o-ja
Sa-na le-o u.....
Chorous
Nipende......Nipende.......... Nipende.......Nipende
Verse 5
Right now am feeling Yo yo yo
Ndani ndani yani kwenye roho ho ho
Nikiwa mbali yani nakuwaza yani that's all yo
Nasio mwili yako baby but your soul..
Oooh Baby you should know....know
Vile mimi huhisi jo jo jo
Nitulize roho ho ho I'll be holding on to you...........
The end