Call Me Mama Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Call Me Mama - Patricia Hillary
...
imekuwa kama ndoto yaani mpaka siamini,
Nina amani ya nafsi faraha isiyo na kifani
wewe kwangu ni dhahabu iliyo shuka mbinguni
Nina amani ya nafsi furaha isiyo na kifani
nilimtuma njiwa akufate
karibu yangu akulete
ukanitoa na upweke
I love you so much
na njiwa akufate
karibu yangu akulete
ukanitoa na upweke
unanitunza kama UA
unanipenda najua
ujawahi nisumbua
my son my daughter
iwe mvua amajua kwenye mbawa zangu umepoa
nami nakupenda pia kukuthamini sitachoka
na Tena nafurahi
when you call me Mama
when you call me Mama when you call me Mama mamaooh mamaooh x2
nimekulea timboni utoto
shida na raha baridi na joto
nakumbukaga vituko vyako vya utoto
unajificha mi nifumbe macho
nikutafute wapi ulipo Ashante mungu kwa baraka zako oooh!
nilimtuma njiwa akufate
karibu yangu akulete
ukanitoa na upweke
I love you so much
na njiwa akufate
karibu yangu akulete
ukanitoa na upweke
I love you so much
unatunza kama UA
unanipenda najua hujawahi nisumbua
my son my daughter
iwe mvua ama jua kwenye mbawa zangu umepo
nami nakupenda pia kukuthamini sitachoka
natena nafurahi
when you call me Mama when you call me Mama when you call me Mama mamaooh mamaooh x2
aaaaaaaaaaaah
call me Mamaaaah
done by weance