Nikwa Ni Shoke Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Nikwa Ni Shoke - Khaligraph Jones
...
INTRO
(unajua niliwambia hii shughuli naifanya saahi hakuna mambo ya kesho yaani ...yaani...nkt aaah radaa? rada ni gani?)
kwani ni kesho
kwani ni keshooo×2
(123) kwani ni keshoo
kwani ni kesho×5
verse1
yeah naifanya saahi, kwani ni kesho?(kwanikesho)
na nmetoka Fai, utajuaje mi ni special
MaYoLo to Nai, needed no question
we ni mama kayai, so funga ulesso
bro mi ni vessel, na naamini Yesu(ai yawa)
a gun unamezo, kwani ni kesho
na vile najigas, utadhani ni meko
na ka si madollar, i be earning in person
swag gishagi, mdomo ni baggy
najua hamnipendi, but heshimu kipaji
mi nkama kibaki,(we ni kubaf), bombo kama kimathi
usilipize kisasi, utapigwa risasi(thuthuthu)
na kwani ni kesho, usijifanye ni kama hujui
shughuli ya leo, inafaa nimalize jo asubuhi
na simu kama sio mboka,mi sichukui
na mungu naomba uzidi kunipa hawa maadui
so ka una shida si ubanje saahi, kwani ni kesho?
na ka una deni we si unilipe,kwani ni kesho?
si nimetoka club mi nshawapea,kwani ni kesho?
kwani ni kesho
chorus
kwani ni keshoo
kwani ni keeeeshoo
kwani ni keshoo
kwani ni ke
kwani ni keshoo
kwani ni keshoo
kwani ni keshoo
kwani ni keshoo
kwani ni keshoo
verse 2
Yea ayy am blessed, trust me (OG)
Janjez, ???, come less, pat me( omollo)
you can flex, mmbwakni(hahaha)
hio slang ni yangu saahi, na najua nimewaboo
na mkinirushia mawe, mi huwa narespond na flow
na ka umenibebanga ndogo,embakasi mi huitwaga modho
kilianza na chipo za ngovo, skuizi keroma huletwa na glovo
mmekosa qualification, na mnataka certification
clout chasing ndo kitu iko fashion
na nyi wote bado manduúuuuuuuuuuthi
flow sigeuzi upende usipende, kwani ni kesho
luku kasuku lakini ni safi, kwani ni kesho
sichezi origi lakini natesa, kwani ni kesho
so we nichukie na mi nakafunga, kwani ni kesho
flow sigeuzi upende usipende, kwani ni kesho
luku kasuku lakini ni safi, kwani ni kesho
sichezi origi lakini natesa, kwani ni kesho
so we nichukie na mi nakafunga, kwani ni kesho
chorus
kwani ni keshoo
kwani ni keeeeshoo
kwani ni keshoo
kwani ni ke
kwani ni keshoo
kwani ni keshoo
kwani ni kesho