MILELE Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
MILELE - Jefferson
...
(verse1) mmh.l look at you,nashindwa nikuambie aje. ka tu ungejua vile uko fine,shorty l like your pretty face sio Siri unapendeza that's why hii kitu ndani yangu haishi kunisumbua.l can't sleep pia mama siezi rest mi hubaki nakuwaza day and night picha yako imenikwamia Kwa macho sioni mbele labda tu mama uniongoze. chorus:kuna kitu kuna kitu ndani yangu, inanifanya nataka niwe nawee.kuna kitu kuna kitu ndani yangu inanifanya nataka niwe nawe.Mileelee mileele mileele mi nawe. (Verse 2 ).chances Kwa maisha ni rare na ka nimeipata hii time kukuambia sijui utachukuliaje mama.ka ungeeza kunitazama machoni i got love for you from the beginning.Na hii fire haiwezi die.napicture picture picture perfect tukiwa different places mi and you tunarock na ka Jana na Leo kesho bado ntalala next to you. (2nd chorus) kuna kitu kuna kitu ndani yangu inanifanya nataka niwe nawe mileelee mileelee mileelee mi nawe. (hook)mi nawe ....mileelee.. kuna kitu kuna kitu ndani yangu inanifanya nataka niwe nawee...Mileelee .kuna kitu kuna kitu ndani yangu.inanifanya nataka niwe nawee.kuna kitu kuna kitu ndani yangu inanifanya nataka niwe nawe.Mileelee.mileelee.mileelee eeeh.mi nawe.eeehhh mmh mileelee.