Mjie Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mjie - Favoured Kid
...
You know it's,you know it's Favoured Kid
Hybrid Music ,Zero Two One(021)
Aaaaaaaah ndugu yangu mjie huyu Yesu,
Aaaah aii mjaribu ushuhudie.
Yeye kwake kamwe habagui,aii tajiri na maskini,
Ahadi zake ni za milele,aii akiahidi ni sharti atimize,
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Jamani huyu Yesu ni wa ajabu,aii adi wafu alifufua,
Magonjwa anayaponya yote,aii adi mashetani aliyatoa,
Maisha yangu yamekuwa sawa,aii tangu nimkubali huyu Yesu,
Ata wewe yako yatakuwa sawa,aii mjaribu ushuhudie,
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Wakati mimi niliokoka,aii marafiki walinicheka tuu,
Wao walidhani ni mzaha,lakini nilijua nilichokifuata,
Walionicheka leo hii siwaoni,maana shetani amewamaliza,
Walidhani raha ya dunia itawatosha,aii kumbe wakajidanganya tuu,
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Hapo mbeleni sikumjua huyu Yesu,aii leo najua ni mwokozi wangu,
Maisha yangu yalikuwa mangumu sana,ila stori imebadilika,
Familia yangu waliisema jana,aii leo wasema imebarikiwa,
Walionikosea heshima jana,aii leo waniheshimu juu Mungu sio kidogo,
Ata wewe ukimjia leo,aii kwa hakika utashuhudia,
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Baba yangu mjie huyu Yesu,aii mama yangu mjie huyu Yesu,
Kaka yangu mjie huyu Yesu,aii dada yangu mjie huyu Yesu,
Marafiki zangu mjieni huyu Yesu,aii muuonje utamu wake,
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie
Aaaah aii mjie huyu Yesu,
aaaah aii mjaribu ushuhudie