Dalili Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Dalili - Toxic Fuvu
...
yeah....
>.......<
it's toxic..
....
ukiona hizi dalili gudnyt saa mbili
mpaka file ya calculator akaipiga namba za Siri
hakupigii simu Mpka we ndo umpigie
hana stori na ww zaidi ya kusema niambie
haeleweki yupo online ana Whatsapp GB
majibu yake mafupi sana K au P
Tena kweny kuhus swala la kuachna haofii
Neno nakupenda inakatika miez hauskii
dharau ,karaa,kebei we ndo wakuomba msamaha ye kashajivika umungu hakosei
post zake za kioo... inabidi uelewe yaani akikuweka status utajiona mwenyew
Ukimtendea mema ye haoni anaona hayamuhus kutwa anakutoa kasoro anakuona unamapunguf
mazungumzo ya kuijenga amani analeta vita
anachukia ukimwambia siku hzi umebadilika
Zingatia na dharau mara nyngi hata umwabie vile vitu vyako muhimu muda mfupi ashasahau
anakua mwanasheria haombi radhi anapofeli na hukazania uongo ulio wazi kugeuka ukweli
Mwanzo mlifanya wote pamoja like n hiki
sahivi anafanya Siri mambo yake hakushirikishi
vitu vingi ukiomba mfanye anapiga chenga na hutanguliza Sana usemi wa mungu akipenda
Hapendi umoja haswa ukimuuliz swali unanienda au hunipendi kitakachofuata n ugomvi
sometym anakuaga nmechoka napumzika ila Cha ajabu namba yake ukipiga inatumika.....Tena
everytym unammiss ye kwake ubize hauishi hata kupendwa hauhisi ila unafosi Kwa ubishi kisa unampenda kichizi anakunyima usingizi amini ulipi sio salama
ukiona dalili hizi......
beat...........