Asali ft. Watendawili Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Uhhh uhhhh
Uhh uhhhhh
Uhhh uhhhhh
Nanananananahh! Alright
Ka we ni gari we ni manyanga
Kwa hio manyanga me ndio manamba
Ka uko na team naomba jezi
Naomba mechi si tukipatana
Also I wonder je unanyonganga
Mmh pia we hufanya kile me hufanya
Sema ukweli ndio tuache kujifanya
Tuache kunyimana nigeh ata kidogo
Si uni gey? Kama rainbow
Ukinipa leo pia nipe kesho
Si uni geyyyy kama rainbow
Ukinipea leo pia nipe kesho
Ooh yeh
Ooh yeh
Ooh yeh
Asali nakupenda sana
Asali wangu
Oh yeh
Oh yeh
Oh yeh
Asali nakupenda sanaaaaaa
Asali salimia kina Zam Zam
Tulionana mara ya mwisho tukiwa half term
Siku zime enda sikuizi niko handsome
Ata me najua bado we uko matata
Dalili nilikuonyesha zaidi
Tukiwa shule ya upili
Na bado niko dizzy
Dizzy dizzy na ma feelings
Ni kali kali tangawiz
Nimetafutanga bibi na sioni mwingine
Sioni mwingine
Si uni gey? Kama rainbow
Ukinipa leo pia nipe kesho
Si uni geyyyy kama rainbow
Ukinipea leo pia nipe kesho
Ooh yeh
Asali nakupenda sana
Asali wangu
Oh yeeh
Oh yeeh
Oh yeeh
Asali nakupenda sanaaaaaa