Nisamehe ft. Redemption Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Nisamehe ft. Redemption - Sharo Misifa
...
Na mastory za madem
zilinichenga chenga nikatendana
akilini me nikaku-neglect
kukulengalenga kukuhepa hepa
Aki sorry oh my Daddy
nayotenda haikupendezi
my Daddy sorry
aki sorry oh my Daddy
nayotenda haikupendezi
my Daddy sorry
Na hakuna kama we Yesu kama Yesu
nayotenda hayasemeki
yani kama mwana mpotevu mwana mpotevu
sina budi nimerudi tenaaaaaaa
Dhambi mob nilotenda ninaomba aah
(unisamehe)
kwa kurudia makosa ninaomba aah
(unisamehe)
kulenga shughuli zako ninaomba aah
(unisamehe)
me sitorudia tena ninaomba aaah
(unisamehe)
Na sasa niko sawa sina lawama
zile vitu nilifanya nimeziwacha aah
na pale nimetoka ni mbali sana mmh
devil hatonicheza nimemtoka aah (yoh)
a-so we run turn
never going back
zile enzi nilishatoka kitambo
me no turn back
forever me hold tight
omwama wa sumba na yesu ndiye title
in Jesus we-a stuck like glue
na nikimuita ata-come through
toka zile enzi za kitambo
hajawai niangusha eeeehh iiih
Na hakuna kama we Yesu kama we Yesu
nilotenda hayasemeki
yani kama mwana mpotevu mwana mpotevu
sina budi nimerudi tenaaaa
Dhambi mob nilotenda ninaomba aah
(unisamehe)
kwa kurudia makosa ninaomba aah
(unisamehe)
kulenga shughuli zako ninaomba aah
(unisamehe)
me sitorudia tena ninaomba aaah
(unisamehe)
uuuuuuh ula la la la la la eheeeee
Na hakuna kama we Yesu kama we Yesu
nilotenda hayasemeki
yani kama mwana mpotevu mwana mpotevu
sina budi nmerudi tenaa
Dhambi mob nilotenda ninaomba aah
(unisamehe)
kwa kurudia makosa ninaomba aah
(unisamehe)
kulenga shughuli zako ninaomba aah
(unisamehe)
me sitorudia tena ninaomba aaah
(unisamehe)