Nita Kusahau Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nita Kusahau - Mavokali
...
Mimwenzako sna amani ya mapenz
Mi mwenzako sna ata wakuni enzi
umeumiza mutima mama
umebadili na jezi ,umesema umesanda
Na kunipenda uweziiiiii
kukicha alufajili naidangany siri
Mabaya yako uyaache ,umevunja nadhili
kunipenda mm labda uchungu ukukamate
umekubwa na nn ,ama mdudu jini
mbona unanifanya nidateeee
ata salamu nkikupa, unanichunia ah
marafk zko wakina doni masha naki na lokole
insta mnanichamba ,mnasema ety mmenipatia
Na mi nguvu sinaa "Beat "
Nitakusahau ...nitakuasahau
nitakusahau ..nitakusahau
ila bado siamin , upweke wangu húuuu
nakesha ndani kama nini , pekeyanguu
mi namichale kama jini ,mwilini mwanguu
nife nifukiwe chini niende zangu uuu
ila bado mm nawaza kungojea
kama utarud basii , uje uniondoe
simanzi utaniuaa
Marafk zako waki na doni masha naki na lokole
insta mnanichamba ,mnasema ety mmenipatia
Na mi nguvu sinaaaa aaahh "Beat "
Nitakusahau ....nitakusahau
nitakusahau ...nitakusahau
eh eheeeee eheeee ehe heeeeee nitakusahau
nitakusahau mazima nisikuonee ..........
nitakusahau nitakusahau kipenzi
nitakusahau naona umeshapanda dau ..
"End "