Teketeza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Teketeza - Kenny Bizzoh
...
Hewana records
ooooh
Zack music
ni mukamba
mukamba international
hii dunia ni mapito mapito tu
dunia ni mapito mapito tu
unayaona yote yanapita tu
nakwambia yote yatapita tu
lakini neno lake bwana litasimama
lilikuepo ata kabla si tuhepo
na bado lipo na sisi tupo
pande zote linakata ni upaga
yee yee ni upaga
kwa neno lako baba wengi walikwona we
na bado tugependa pia si tukwone we
maumivu ya roho baba siutuponye
we ndo twategemea
shetani balaa anatuma vifaa baba siuteketeze
teketeza baba teketeza
vivya na mwaki teketeza
vivya na mwaki teketeza
holy holy fire teketeza*2
baba teketeza *2
hali sivyo ndipo uwepo wako ukiwa
since day one for sure we you know that
maundu ni maseo ninaku we yesu
yiii asya kulugala
parao ajua vipi we wafanyaga
ww ndiye Mungu mkuu wa ishara
ukiguruma ukiguruma mapepo zinapotea potea baba*2
kwa neno lako baba wengi walikwona we
na bado tugependa pia si tukwone we
maumivu ya roho baba siutuponye we ndo twategemea shetani balaa anatuma vifaa baba siuteketeze
teketeza baba teketeza
vivya na mwaki teketeza *2
holy holy fire teketeza*2
baba teketeza *2
walosema huwezi wanashdwa Leo
waloshka nyota waachia Leo
sababu moto wa yesu unashuka
moto Moto wa yesu unashuka
pesa mangari achilia Leo
ndoa inayofaa achilia Leo
cheo kazini achilia Leo
amani nyumbani achilia Leo
achilia Leo aaaa achilia Leo*2