Ndoto Zetu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Ndoto Zetu - Mr Cross
...
WATU WA MUNGU(Hatutakufa)KIFO KISHIDWE (kifo kishidwe)AAH( hatutakufa tutimize ndoto zetu )×2
Shida unazopitia ni shetani anakujaribu ndugu-dada usife moyo Yesu atakushidania ata ukila githeri jirani Yako akila kuku shukuru bwana wa mabwana ambia bwana ni Asanta. uenda kesho ikifika jirani alitekula kuku aje kwako apige magoti aombe umpe chakula. Watu wa mungu nasema natabiri na nitatabiri hakuna atakayekufa kabla atimize ndoto zake.
CHORUS
Watu wamekuchukia ata wanakudharau mpendwa usiwachukie ambia bwana ni Asanta. Adui wamekuzunguka mabaya wanakutakia, hawataki ubarikiwe wanataka ufilisike uenda kesho ikifika mungu atende jambo jipya waliotaka ufilisike wakuite mheshimiwa.watu wa mungu nasema natabiri na nitatabiri hakuna atakayekufa kabla atimize ndoto zake .
Watafanya yote wawezayo,waseme yote wajuayo lakini hawatazuia ndoto zako zitimie watu wa mungu lazima tujenge manyumba makubwa,tusome adi twende ng'ambo ndoto zetu zitimie,mungu akitenda jambo jipya,gari lazima mnunue,kazi lazima update shida ya pesa ifike mwisho.watu wa mungu nasema natabiri na nitatabiri hakuna atakayekufa kabla atimize ndoto zake
CHORUS,,,,,,CHORUS
Wapendwa wote......
wanafunzi wote.......
wanabiashara..........
wazazi wote.............
written by; EMMANIS SOLOHZ