Wivu Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Wivu - JADI
...
Kila siku ina chizi wake
Kila ndoa ina drama zake
Na hapa kwetu kuna mapepo
Rafiki zako ndio mapepo
Wanataka unishuku
Usidhubutu kuwapa hao nguvu
Utajikosea sana
Wananisema vibaya
Kwa ajili yao tunagombana
Usiwape nguvu utajikosea sana
(Wanaona×3 wivu achana nao)×4
Hao sio marafiki hawajui unacho hisi
Hawaoni unacho ona jamani
Usizamishe mengi
Usitoroke penzi
Usiniache mimi mataani
Moyo wangu ni mwepesi(tahadhari mama)
Chunga isiwe kesi (umenizika mzima)
Moyo wangu ni mwepesi (tahadhari mama)
Chunga isiwe kesi (umenizikami ni mzima)
(wanaona×3wivu achana nao)×4