Nikumbuke Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nikumbuke - Plank Wizzo
...
Hali yangu so mbaya
Ila muhimu salamu
Siwezi kutenda vibaya
Nami pia mwanadamu
oh Yan shida,najiuliza Nini kosaaa
Au kisa sikuweza kumudu posaaa.
Kutwa kujiinamia ndo Kwanza nawaza sitambuii
Kipi umelenga dear mwenzako siwez uaduiii
Bendera upepo dear mekumbwa na Moto wa tanuriii
Siwezi kukata Nia sababu ya kupenda ndo sijuiii.
Mi naomba unikumbukee
Naomba unikumbukeeee
Mi naomba unikumbukee
Hata kwa simu tuu.
Mi naomba unikumbukee
Naomba unikumbukeeee
Mi naomba unikumbukee
Hata kwa simu tuu.
We ndo nyumba ukifunga ntakosa pa kulala onaa
Sina uwezo wa kubisha ndo Kwanza Sina karoo nanaa
Oh najiwaza mwenyewe
Sinaga uwezo kuwapita
Vurugu kuku na mwewee
Siwezi kubisha kaja kufaa aah onaa
Wakuitaga miriiii
Saa sita kamilii
Ah Nitunzie siriii
Nisije kuchekwaa
Wakuitaga miriiii
Saa sita kamilii
Nitunzie siriii
Nisije kuchekwaa aaah
Mi mwenzako nakupenda be
Usiniache bby weee
Nakumisi kumisi ma bee
Nakupenda ma love you know
Usiniacheee
uuweeeeeee
Naomba unikumbukeeee
M naomba unikumbukee
Mie hata kwa simuu tuuu
Mi mwenzako namiss upendo
Nakumisi ma bby ujue
Usiniache dilema mwenzako
Nakupenda ma love you know
Usiniache
oooh oooh
Naomba unikumbukeeee
Usiniache nitesekee
Mwenzako sijiwezi aaah
onananaaaa a nana naaa
Oh plank wizzy beibee