Walionicheka ft. Rose Muhando Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Walionicheka ft. Rose Muhando - Ringtone Apoko
...
Amina, amina, amina Amina, amina, amina Masimango na maneno makali Yalikuwa ndio fungu langu Shida, taabu Ziliumiza sana moyo wangu Masimango na maneno makali Yalikuwa ndio fungu langu Maumivu ya moyo Yaliinamisha nafsi yangu Asante Yesu Kwa kuwa uliiona taabu yangu Nakushukuru Kwa kuwa uliona msiba wangu Asante Yesu Kwa kuwa uliiona taabu yangu Nakushukuru Kwa kuwa uliutazama msiba wangu eh Sasa ona ninaendelea Walionicheka wanaona haya Asante Yesu kwa kunishindia Walionicheka wanaona haya Walikuwa ni mahypocrity Hawakuwa marafiki wangu wa kweli Ikifika wakati wa mahitaji Wananihepa manze kila wakati Hawakutaka mi niokoke kabisa Walitaka mi nichanganye kabisa eeh Ona vile mi nang'ara kabisa Ju nilifuata Yesu kabisa Yesu wangu nakufuata we Wacha wao waende na rieng Yesu wangu nakufuata we Wacha wao waende na rieng Sasa ona ninaendelea Walionicheka wanaona haya Asante Yesu kwa kunishindia Walionicheka wanaona haya Asante Yesu Wingi wa huruma Umenishika mkono Mbele naendelea Eeeh Yesu Wingi wa huruma Umenishika mkono Ninaendelea Uko nami(Uko nami) Uko nami baba(Uko nami) Uko nami(Uko nami) Uko nami baba(Uko nami) Waonyeshe(Waonyeshe) Waonyeshe(Waonyeshe) Waonyeshe(Waonyeshe waone) Waonyeshe(Uko nami eeh...) Uko nami(Waonyeshe, haleluya waonyeshe) Uko nami(Waonyeshe, waonyeshe) Waonyeshe waone Waonyeshe(Uko nami eeh) Waonyeshe baba uko nami Mwokozi kwako sihami Matatizo sipati Ju sasa wewe uko nami Amina, amina, amina Amina, amina, amina Amina, amina, amina