Mandovu ft. DJ Shitti & Ssaru Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Mandovu ft. DJ Shitti & Ssaru - Virusi Mbaya
...
ayo ni dj shiti aka kolokolo myanye
na niko na sylvia ssaru long side virusi mbaya kutoka kibira namba nane
ricko beats finya hiyo kitu
nataftwa na pocha wallet imejaa mandovu weeee
wallet imejaa mandovu ]x2
[nataftwa na pocha wallet imejaa mangirima
weeee wallet imejaa mangirima]x2
iite ndovu
iite thao
iite stick kama pramba
iite jina unataka jina yoyote itakumbamba
brown ama jongu ajiletangi kwa mfuko
llazima uzitafute ukue busy kama fuko
mi na mangiri na mathao
nowonder nasakwa na mapoacher
ata nadai kuhepea ushago
nitumie map ya ocha
dem kwa ku hustle mi ni coacher
na wife pia ni hustler i dont even need to coach her
so buda anazo
pia takua nazo kibao
kws wamchunge
na mapoacher wamsake ni how
nasakwa na mapoacher coz i keep just to my self
na hakuna siku utanipata ati kwa wallet sina maelf
nataftwa na pocha wallet imejaa mandovu
wee wallet imejaa mandovu x2
nataftwa na pocha wallet imejaa mangirima
wee wallet imejaa mangirima
nataftwa na pocha wallet imejaa mandovu
wee wallet imejaa mandovu
ssaru:
wallet imejaa mandovu
akili ni potovu
na minakuanga mchafu jooh
sijakua mwokovu
sai naeza kupea kitu ukichape kitoe mapovu
ufikishe kwa kitovu
utoe moshi ya stovu
kibi.. inakuanga tamu
akuna siku inakuanga mbovu
ukicheki unaskia fiti
kidogo unakua kipofu
hiyo kibenje ni ya gucci
ili ni cost kapa tatu
imebeba manoti ( manoti za mandovu)
nafanaya mnaniita mzito
na mnajua sinanga weight
so kama mnataka fom siezi buy hizi malejo
sai mnadaiwa lami juuu unajua hauko msoto
kaa rada si unajua hawa mapoacher ni mapoko