Utomvu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Utomvu - Pillars Of Faith Ministers
...
nyaka kwa mkate,jioni
nyama kwa mkate asubuhi
akanywa toka kijito kerithi eliya akatulia
kunguru akamlisha mtumishi na maisha ni yaleyale kila siku
mimi nimejisahau kabisa kwa starehe alizopewa nabi eliya
kijito kikakauka injili ikaenda zalekta
starehe zetu zina mwisho kwani mara nyingi zinatusahaulisha juu ya wasumbukao ng'ambo ile injili haitasonga kwani tumebarikiwa na ya kutusitiri
alitupa muumba wetu naye hajawapa na watapiamlo tusisome utulivu hadi tukasahau kutazama kule nje
zalekta kuna wengi ambao wastahili kubarikiwa kwetu toka toka tuende
.....stanza two uploading