Nimekuchagua Wewe Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2016
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala
...
nimekuchagua wewe uwe wangu
nisafari ndefu ya mwanadamu kimaisha na mapenzi iwe mke au mme mara moja kubahatika maishani mwako kumpata mtu flani ambae huwa ni maalumu kwako kipenzi cha moyo wako,
kwa kiasi kikubwa nimetambua na kuamini yakua kukutana kwetu ni mwanzo wa kutimia kwa ile ndoto yangu ya siku nyingi kwani pendo letu linakua kulingana na wakati,
kila Siku maishani mwangu nilikua na ndoto ya kumpata wangu mwenzi tufunge nae pingu za maisha.
kiitikio..........
"nimekuchagua wewe uwe wangu, wangu wa maisha wa kufa na kuzikana,
usijari mangi maneno watu wasemayo yaliyopita sindwele tugange yanayo kuja.
nakupenda wee ewe eee malaika wa moyo Wangu.
nakuhusudu we ewe we ee ua la Moyo wangu
l love you "