Tunapendana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Tunapendana - Dar Mjomba
...
Hadithi Hadhithi,,,, Hadhithi njooo
wananiitaga Mjomba.....
Alinitoa kwenye Biashara Mayai,
leo ameniweka mimi ni Top kwenye Chati.
kumpenda nampenda sikatai,ata wanipe nimehapa simwachi,
ameandaa meza ya watesi wangu,na kwenye Vita ndio ngao yangu,
mii namwita Mungu ndio Baba Yangu,mkombozi wa Maisha Yangu.
Chorus
Tumeshazima hatuchezi na nareee(aaaaa hatuchezi na nareee)
michezo ya kuwasha nani tulitupa mbali,(aaaa tulitupa mbali) ××2
Basi mimi na yeye ,tunapendana
mimi na Yesu , tunapendana
wa Chanda na Pete ,, tunapendana
Simwachi haniachi, tunapendana .××2
Najuwa watasema njoo tukupe u Star,We uwachane na Mungu (Hapana).
Tutakupa Magari,majumba makali,we achana na Mungu (Hapana )
Naogopa Moto Mimi,×××4
Ameanda meza Mbele ya Watesi wangu,na kwenye Vita ndio ngao yangu Mimi namwita Mungu ndio Baba Yangu mkombozi wa Maisha Yangu ,,,
Chorus
Tumeshazima hatuchezi na nareee aaaaa hatuchezi na nareee
michezo ya kuwasha nani tulipa mbali ,,aaa tulitupa mbali..×2
Basi mimi na Yeye,, tunapendana
Mimi na Yesu ,, tunapendana
wa Chanda na Pete tunapendana
simwachi haniachi tunapendana ××3
instrumental
Thanks by Brian Akeno