Nakuabudu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Nakuabudu - Veroh Makau
...
Nakutukuza, nakuheshimu
uishie ndani yangu Nakuabudu..
Mungu hupendekeza upendo wake kwetu
Tulipokuwa watenda dhambi Kristo kafa Kwa ajili yetu.
Tumetangazwa waadilifu Kwa damu take Yesu
Kupitia kwake Yesu ,tumepatanishwa*2
Damu yake na sadaka imeniweka huru
Niliyekuwa ni mfungwa,ni huru kabisa
Deni yangu alilipa pale msalabani
Nafurahia ushindi wake ,ni huru kabisa*2