Nyororo ft. BERN MZIKI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nyororo ft. BERN MZIKI - NDUME
...
ukisita chini ninazamana ,ju tama za dunia zimekwamana
nahisi niko solo feeling kinda low low
am trying to hold on plz
nimefungwa minyororo ×2
nimefungwa minyororo
feeling kinda low low
am trying to hold on plz don't let me go×2
Truth is nakupenda ,mkono moja juu kuonyesha ishara
truth is unanipenda,na roho moja tu unanionyeshanga
na truth is mi hukulenga sometimes kiburi inaanza kujishasha
na truth is nafeel lonely,ni ka stori zangu umewacha
kesho siku ya kanisa,leo niko maji klabu saa tisa
na mi ndio naongoza misa why mi huanga worship leader
am on my knees am crying,apo mbele nikiimbisha
bt sahi naplan kuchota kangios na katalipisha
and thou shall not covet macho ya fisi Bado iko open
nimepita na washirika wote bei ya p2 itafanya nisote
tamaa ya bangi itafanya nikope
umalaya itafanya nisioe
nilikuwa kijana wako mtrue
umeniwachia dunia inipone
I keep praying for this stori
I keep posing to the body
I keep calling on your name
bt naona kama hunioni
wah and I can see why
bt plz forgive I
usikubali tamaa zangu kunimaliza
movie ya netflix imeisha
na aki ilikuwa kuchachisha
mahanjam ikapandisha
ikabidi nimesababisha
account ya GOD nimetayarisha
ju nakuanga nimelipishwa
na Ari nisikose tu
mkristo akachoma picha
kitu funny siezieleza
ni lini nilianza kuteleza
ni lini nilijifunga kwa gereza
ni lini nilianza Kwako za jeneza
na nimechoka na hii feeling
hainipei amani kwa akili
kilasaa nakusaliti
na loose ...napigana na mwili
plz nko kwa ngori
nitupie kamba na za masoli
na se ameniseti kwa ngori
am really really really sorry ju
ukisita chini ninazamana
ju tama za dunia zimekwamana
nahisi niko solo feeling kinda low low
am trying to hold on plz
nimefungwa minyororo plz don't let me go
nimefungwa minyororo plz don't let me go
nimefungwa minyororo feeling kinda low low
am trying to hold on plz don't let me go×2
plz don't let me go ooooooo