Furahiday (Radio Edit) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Furahiday (Radio Edit) - Nonini Mgenge2Ru
...
Cheka nani ka unajua unafeel poa
Cheka na mi ka we ni bachelor na hujaoa
Cheka na mi ka umekunywa na unakojoa
usicheke na mi ssababu ni end month pesa ntatoa
jamaa leo network blunder
jam saa kumi na moja ndio ilianza
kwani Leo ndio kila mtu hupiga simu
ni Friday siku lazima tuiheshimu
shika mtoto wako mweke karibu nawe
beshte yako mnunulie pia bia naye
mtu akileta noma hapa pigana naye
manzi akileta maringo jo achana naye
Kuta mwengine mwambie nipe nawe
condom kibao usinikazie we
safi twende ndani ya ndai Manzee
Bora usiwe mtaro aisee
nameless Jo niliskia ana yake
Mali ilinkazia itabidi nimetuma satchet
kenya officially niliwafanya drinking nation
na kila Friday huanga joh ni vacation
kuchoma nyama ndio kitu ya kwanza
ushibe poa kiugali ndio usiwake haraka
kuchoma main ndio kitu ya pili
na hii furaiday tumeanza na mapelee
its okay (okay)
ni furahiday