Hangover ft. King Kalala & Motif Di Don Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Hangover ft. King Kalala & Motif Di Don - KANAIRO KAKITU
...
Si maji itasaidia si maziwa
Labda nitoe lock lakini,Kuna kitu ka kutoa lock aiii
Drink ya kwanza ya pili ya tatu ya nne am in reloaded
Uskii ni Monday,nani ako na Panadol
..... Hangover (hangover )si mahennes si manono ni hangover
Hangover boss amebonda ,anadai kubonga nimechoma
Nadai tumbukiza manze nirudi sober
Ama supu surwa na vile nimenyota
Me hustler ka Ruto nishapata ganji
Ex alinitoka juu ya ombi tena gari
Hali ya jana niliblack out si story
Boss anapiga simu na niko Kwa jam(Doni)
After kunilipa salon niliblaki
Lazima niende kazi juu nadai keki
Ofisini niko ....
Me and my frenzy no smoking Instagram stoking
Hangover mwili imechoka
Naskia kaa Niko mjengo
Hangover (hangover )si mahennes si manono ni hangover