Kuna Kichwa ft. Dantez, Breeder LW, Zzero Sufuri & Exray Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2021
Lyrics
Kuna Kichwa ft. Dantez, Breeder LW, Zzero Sufuri & Exray - VDJ JONES
...
Niko juu ya kilighter na kimbichwa
Morio unajigwesa kuwakisha
Mbogi inaongojea ka utapitisha
So rada safisha
Badder dan dem mambo kwisha
Mavo juu ya beat si unajua
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
[Exray]
Mangeus wakimuok
Ulalala ulalala
Kwani we hujui joke
Ulalala ulalala
Asalam ale, niko matei tei
Ata kama ni tra
Tuko na bae bae, unaeza kam le, le
Hata ka ni babe mmmh
Wagwaan badman bablican
Nataka hio nduru hata ka si firm
Ni laani ni caption na haikuwagi fan
Kuna kisplashing ka maddam
Bam bam chiki chiki bam bam
Beating naeza kuimbia mpaka riddim
Ting ting njiti tifi
There is a meeting in my bed, in my bed
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa