Ice Cream ft. Suma Lee Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2006
Lyrics
Ice Cream ft. Suma Lee - Babastlyz
...
Intro:
Wuu (ha,ha)
You know the kid that came to rock right. (Yeah)
Toka ShyTown, (aha)
The one and only.
Ni Noorah A.K.A BabaStylz.
Oh Yeah niko na Suma Lee.
Mwite Roy, ndani ya G Records.
Chamber Squad.
Ebwana Ibra eh. (Yeah)
Utaipenda hii.
Verse 1:
Akatizapo kila Street midume nyoyo zapwita. (oh)
Akikukata kujicho tu ni kama anakwuita. (come on)
Uuh anawachengua matooz.
Huyu totooz anayajua mapooz.
Hehe, Brother duuz wenye vichenji kichele.
Misele mbele mbele ila duu ana cash tele. (know?)
Mnyamwezi nakula slide za kiujuzi.
Na kitu ni tiki tu kama star kwenye movie. (That's right)
Anadatisha. (aha)
anakatika. (yeah)
Miondoko ya kiafrika, mwanaume ndio nafika. (oh)
Starehe ni ku-party naye.
Kiuno tu mi nabaki hohe hahe.
Bumps za Ziggy Ziggy.
Zanijaza wizi wizi.
Habibi leo uko na mimi si tuta Jiggy jiggy. (So tight)
All night, All tight, All mine, All nice, Alright oh.
Chorus: ×2
Hey Baby uko na shuzi la kukata. (aahaa)
Ndio maana mabitozi wanadata. (aahaa)
Rika zote wanatamani kukupata. (aahaa)
Sababu una utamu kama Ice Cream. (aahaa)
Verse 2:
Katika katika nenda mpaka chini rudi juu. (sibiri kwanza, is that the mhmmm)
hakika wanifaa japo tu kwa dakika. (hey girl you got the big phat mhmmm)
Ah, Super angle, Super girl, Vuta doe hii sio rusha roho. (yeah)
Aight duu geuka do like glue.
Na kisha ibuka juu. (oh hoh)
Cheza mpaka nijihisi niko Jamaica. (ahaa)
Zaidi ni kama naguswa na malaika. (oh yeah)
Jichezeshe kwa bidii kinamna hii nijidai.
Ni mpaka niguse thong au thigh. (say what??)
Tikisa tena, katika katika.
Ma umeng'aa ulivyojidabika dabika.
Ah usione soo uko nami usulize wapi kati uuh unavyocheza unanidatisha datisha.
Ting'ae ndani ya V.I.P.
Cheza na P.I.M.P ni mi na P.
Basi nakuita.
Kasi katika.
Kiss na hug ndio nakwisha kabisa. (ah, ah, what?)
Repeat Chorus: ×2
Bridge:
(Niskilizeni, mnifate mi, Ok sikia)
Hapo twende katika katika.
Kata kiuno waseme huna mfupa hooo.
Ok Tena Katika katika.
Sio Siri sifa zote mi nakupa hoooo.
Eh eh hapo katika katika.
Hebu kwanza sogea karibu nami njoo.
Oh oh tena katika katika.
Mimi sina mwingine zaidi yako hooo.
Repeat Chorus ×2
Outro:
Hahaa, (yeah)
Sijaitwa BabaStylz bure tu you know?
Ha, yeah. Niko Suma Lee.
Ah, hii ndio Chamber Squad.
Yeah, G Square, Roy, Noel.
Ni G Records Baby.
ShyTown.
Ni East Zuu Ya'll.