NANA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
NANA - Lengama MPN
...
Chi..! Lengama usipemfupa kibogoyo menosinaaaa (menosina) japo nionee hurumaa (huramama)
maumivu ya mapenzi mwenzako sijazoeaa licha makovu ya moyoni hata mwili utakonda pia Hi ni kutoka moyoni nikipenwa napenda piaa Basi nitunze Kama mboni mdudu asije ingia
Wendo tunaendana, tunaenda
tushaanza fanana, fanana
Nana. Nana
Nana. Nana
Sema nikupe roho yangu
chukua, chukua, chukua,
chukuchuku cherere
chukua, chukua, chukua
usije ukaja ukanikimbia. kisapesa
ooooopesa, pesa, pesa,
na maumivu ya mapenzi utaniumbua
ma presha preshaaa
presha presha presha
homama he! aaaaah!
wendio furaha yangu kuwanawe nafurahi
ulivyo mtamu Kama vanilla shepu guu la bia
wendio tunaendana tunaendana
tushaanza fanana fanana
Nana. Nana
Nana. Nana
sema nikupe roho yangu
chukua, chukua, chukua,
chukuchuku cherere
chukua, chukua, chukua
sema nikupe roho yangu
chukua, chukua, chukua
chukuchuku cherere
chukua chukua, chukua
Nana, Nana
Nana, Nana