Nipotezee Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nipotezee - Panadolking
...
Mataa Yamesharuhusu now let's get it on
When i was a kid, I dreamt to make my zone
though it's not easy buh.!!
The glory days are coming
when i pull up with my gang gang kila kitu fine
sa hawaamini ntatusua et walisema nazingua
let snitch keep on snitching coz hakuna anaenijua
and i never stop a shit till i die CANNABINO
Kila beat mi nawaficha labda mtambe nikiwa simo
na bad news ni kwamba I feel that I'm blessed
and good news no kwamba among y'all rappers am the best
so what next,control C now who can Paste
if you battle with me Meen.!! that's murder case
Am the owner of this game so the game is now mine
i drop the down bila sorry Samahani
wala sishindani nao, kwenye game number one
sa wote gonga chairs if you are my Gaden Fun.!!
Wanakesha Daily kwa waganga
nyumba za kupanga kisa wao wapo Nyuma naa.....
Ila mimi bado najipanga,Mungu ndo mganga
Najikaza najituma naa......
NIPOTEZEE NIPOTEZEE NIPOTEZEEE
Verse 2
Yoh Rastaman can you pass me de lighter
Tings are cool man when am high with a biter
Yoh whatagwan niko small but a fighter
yechu yechu haikatai zigidi Bam Bam Taitaaa.....
Mwenye kiu kaomba maji,mwenye mpenzi kaomba mate
mwenye kisu kaomba akate,Mwenye stimu kaomba adate
Yani balaa balawiseee..!! Wanangu niko bizee
nasaka money saka chambiii badae tutambeee
kama mwanangu GOSBY Acha wana wanywe Gambeee
AhaHaHAh..!! Acha wana wanywe Gambeee
Si demu wako mkali unapiga nae picha
Buda si mabroak tunapiga nae lita
yani daily ni weekend tunakula nae bata
nikitoa hela hapendi we si ndo Danga aliekupata
sikuizi ukitaka kuoaa usianze kwa wazazi
we chonga na Boda boda kila kitu kipo wazii
Alafu nishkuru Badae.! AM DONE......
NIPOTEZEE NIPOTEZEE