Nairobi ft. NellytheGoon & K4 Kanali Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2021
Lyrics
Nairobi ft. NellytheGoon & K4 Kanali - HITMAN KAHT
...
clowning hii Nairobi...ishakua hobby(×4)
Leo Niko basha and ma drink is calling
caro anasumbua na mavideo calling
background ya white na nikae nimechoka
babe Niko home Leo sidai ata kutoka
kiasi akanicheki kwa ma insta story
keg na ombitho nikisugua Tory
mi kusafisha ndio nitoke hii ngori
nikaenda kwa room aah! caro na tony!
kizungumkuti ...ule hata na kizungu humkuti( walai)
kizungumkuti... ule hata na kizungu humkuti( walai)
na hatuwezi meet archives
hapo kuna ex wangu, babake, sistake,brathake, neibangu, modewangu, mboch wangu
ngukake, nyanyake (×3)