DELIVER Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2021
Lyrics
DELIVER - Clinchy
...
Any style nadeliver
Flow ni river,Wanajua jina
Niko na bag Niko na rizzla
Any place nitafika
Any style nadeliver
Flow ni river wanajua jina
Nikona bag nikona rizzla
Any place nitafika
Nadai tu kupiga mboka moja safi
Niko kwa walami sikuli na ulafi
Nabonga kilami utathani me msafi
Naskuma mali nadandia basi
nifike bankiko kucheki radar
Nina mabeshte wako London
Director ollidays london,Nipate kwa streets
Big up my brother ,Ulinitumia madoh
Nikibeef maninja hawana form 2 am
nikurusha mablow
woooi wooiii wamother wanascream musimuue jua ni kubaya leo unahama
Hatuendi kwa mambang'a
Anafear for his life
Alinicross siezi acha islide
Anystyle nadeliver
Flow ni river,Wanajua jina
Niko na bag Niko na rizzla
Any place nitafika
Any style nadeliver
Flow ni river,wanajua jina
Nikona bag nikona rizzla
Anyplace nitafika
Nafeel niko weak,Nafeel niko msick
The spirit is willing the body is weak
mangwai zinanifuck up
Karibu niji..blow..up na gas
Nilianza slow nikawork my way up
Nacheki umekata konyagi
Unajiona gwangi,
Umevuta pia bangi unajiona jangili,
Umesahau me kingping ,King wa mpini,Ukicheza utachanjwa,
Maninja wangu wamekanjwa,
Uneza kangwa
Wanadai kunirudisha to the old me
Nacheza chini and you owe me
Things will never change
Am not a slave siko kwa cage
Sidai violence,Siko careless
nawaignore wako Lame wako fake
Manze joh ulichoma kabisa
Ulichoma picha,
Mlango yangu usibishe
Ooo lord wananitry
Nilimpea Mali, hakulipa why
Tukipatana tunafight,no lie
Plotting on niggas nmewasoma for days
sidai kudate,
Naget hii money sijali any
I don't care if you knew me, back in the day
Just know,Hatuko in the same race
Respect muhimu,Sichill na wewe
Blood itaboil,Over normal degrees
acha waseme naringa
Nawasha kivela kwa giza
Tape yako haitawork ninja
Uko na too much hate
Jealousy uliona nikiget paid
Am on my feelings sibongi na manigga
Nilikua naput in work ukisleep
Nilikua nasterve uki eat
Nlilikua hustler from the start siko average
Naondokea dope game ,nimake a couple figures,
ndani ya hii rapgame