Washa Washa ft. Seba Tommy Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Washa Washa ft. Seba Tommy - Oscar Parable
...
yeaay yeaah parable nation, waka waka
nilikakutaga single, hakapendi matingoo, nimenasa ulimboo (ulimbo, ulimbombo eeh)
kakinyonga kiuno chepesiii ukweli kanani hanganyaaaa, mwenzenu wallahy nimedata na pendo, penzi lake sichoki.kananipa na baadae...mimi kwake sitokiinimejenga kibandaeee..