Shaua Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Shaua - Rickchazy
...
SHAUA
VERSE O1
Ana shape kabambe mtoto chumba napanga. Nimepata kiwanja tujenge japo kibanda.ndizi na langu ganda .kakanyaga misamba. nimfate huyo sauti kasuku kinandanda. Anamalingo ya photo kamenibamba katoto, cha kitanda kitanda kimoko, sakata rhumba azonto.tena mwali wa moto, moto (wamoto moto)
Analositi mapochopocho(mapochopocho) mtoto hana kiburi kwa mbwembwe zake kiukweli nimekili. venye amenona ndani kanichanganya akili.
CHORUS
Shaua shaua (shaua) Anajishaua shaua (shaua) Shaua shaua (shaua) Anajishaua shaua
(shaua)
Verse 2
Anavingi mwilini vya kumtazamaaaah (eeehhhe) pindi
niko nae. Kwenye giza totoro twakazana nang'ang'ana nae.usingizi napata ,nakuota kabisa. Akinipata na kata juu kama mwewe, ona hapa na pata huku shida za isha (hahahha) wewe ndiyo wangu mikasa (mmmh) unavyotingisha (ahhaa)
Bridge
Aheeeeh ,aheeeh hapo sasa)aheeh aheeeeh (mmmmh)Ah
CHORUS
Shaua shaua (shaua) Anajishaua shaua (shaua) Shaua shaua (shaua) Anajishaua shaua
(shaua)
Autro
ukitaka tucheze jinyongeshe ujikoroge,mimi ndio yako mbege ukipenda ikoroge.
CHORUS
Shaua shaua (shaua) Anajishaua shaua (shaua) Shaua shaua (shaua) Anajishaua shaua
(shaua)
----- End ---