Boom Bap ft. Beats De Rap & Base De Rap Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Boom Bap ft. Beats De Rap & Base De Rap - Hip Hop Beats
...
ricblack
jeer àaaah jeer aaahah
vyuma vimakaza Hadi inashangaza
tunapigwa na baridi ndani ya usiku wa giza,
maisha yetu kama tunaiza, tunaona giza,
kifo kingelikua safari ningeomba viza,
vita yetu ni juu ya ufukara na tumekuwa marisk taker atuogopi hasara, tupo kwenye msafara
life life la mtaa! life life life la mtaa!
pesa imekuwa Mungu wengi wanaitolea kafara,
masikini hadhaminika kanisani hata mskitini
wanaleta magonjwa wauze Kinga kwa Maskin
je ni kinanani wazazi kwa watoto mitaani,
wasio na maskani hushunda mitaani na kulala vichochoroni
maisha hayana likizo tunastrugle mfululizo, tunakutana na ving vikwazo, tumeumbiwa matatizo, ee mungu tupe mwongozo maan we ndo mwisho pia mwazo
life life la mtaa! life life life la mtaa!