Loading...

Download
  • Genre:Dancehall
  • Year of Release:2020

Lyrics

Chapa Kumedi - Dirty Boyz Gang

...

Yeaaah! Dirty boyz yeah uh

(mbogi nyege!) Ndo hao

Mbogi chafu ouuuh! (Vinks on the beat)



Zimeshika nina chapa ni (chapa ni medi)

Nina chapa ni (chapa ni medi)

Mzigo mzitu round nina chapa ni (chapa ni medi)

Nina chapa ni (chapa ni medi)


Chapa nna chapa nimedi (medi)

Chapa nna chapa kumedi (medi)

Chapa nna chapa nimedi (medi

Chapa nna chapa kumedi (medi)


Mbogi nyege tume come through na njeve

Seti kanunu fyeka fyeka na jembe

Spigi shots sita leo niko na tembe

Aty uta geuzwa kichungi na unatembea na wembe


Nime pull up na genge ya ma odi

Nme zama shimo zote na sijai piga odi

Kumanga dada zao kiandan huniita godi

Nna lala keja zao na sijai lipa kodi



Zimeshika nina chapa ni (chapa ni medi)

Nina chapa ni (chapa ni medi)

Mzigo mzitu round nina chapa ni (chapa ni medi)

Nina chapa ni (chapa ni medi)


Chapa nna chapa nimedi (medi)

Chapa nna chapa kumedi (medi)

Chapa nna chapa nimedi (medi

Chapa nna chapa kumedi (medi)



Chapa nimedi ndo form c huseti

Nikteka hao mangeus sanasana makeki

Tingisha tingisha dhudha Abdalla abaki amesimama

Mangeus wakijipa tunachapa ilale


Gongesha chapisha ibaki joh ni lawa

Kwa giza shikisha lipuka ukime

Shakila madhudha tingisha ah!

Madiva wajipa ah!ah! Ma Gbag ivisha kwa machoche zituvibe...


Zimeshika nina chapa ni (chapa ni medi)

Nina chapa ni (chapa ni medi)

Mzigo mzitu round nina chapa ni (chapa ni medi)

Nina chapa ni (chapa ni medi)


Chapa nna chapa nimedi (medi)

Chapa nna chapa kumedi (medi)

Chapa nna chapa nimedi (medi)

Chapa nna chapa kumedi (medi)



Unanichafua kwa luku ila mistari nakuosha

Nipate tu naduster nikichafua basement area yako

Napita tu na esther wambo pia Sasha

Napenda pedi wangu ye huni balance tu maroster


Mashada namacookie zote zote pia mboga

My brother wacha chuki boy boy ntakugonga

Lawama haiwezi weza so tembeza utabuya

umama useti kando juu nimekuja nakirifle

Na venye nimesteady utadhani mi ni idol

Na manzi yako keki nitamkula Kama apple

Navenye we ni mshenzi mi nachapa nimedi

Kwa bedi joh miniratchet mdeadly


Zimeshika nina chapa ni (chapa ni medi)

Nina chapa ni (chapa ni medi)

Mzigo mzitu round nina chapa ni (chapa ni medi)

Nina chapa ni (chapa ni medi)


Chapa nna chapa nimedi (medi)

Chapa nna chapa kumedi (medi)

Chapa nna chapa nimedi (medi)

Chapa nna chapa kumedi (medi)

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status